Au awe anakula msosi na Bangi hapo hapo kwa Pamoja.Uwe unakula kwanza kabla ya kuvuta bangi mkuu.
Kwahiyo hadithi yako inanifundisha nini? Fu** off!!
Angalia Sana,Fu** off!!
So long as hunijui basi kujaribu naweza, ni swala la uamuzi tu.Nadhani itakuwa shida kwako.anyway yaishe, naona tunaharibiana siku tu,usijaribu kabisa ,hunijui sikujui.
Hahaaaa! I like this game..! Fika morogoro msamvu tu pale.nenda terminal pub ,ulizia osama, watakuleta.kama wewe mwanaume kweli nakukaribisha sana.namba hiyo hapo ukifika nipigie nakuja. Ole wako usije sasa ...So long as hunijui basi kujaribu naweza, ni swala la uamuzi tu.
umenunua mwenyewe acha uongoNimeshauza ,haipatikani tena.
Ha ha ha ha dogo nmepita apo na nmejipa likizo kwa ajili ya Moro so just waitHahaaaa! I like this game..! Fika morogoro msamvu tu pale.nenda terminal pub ,ulizia osama, watakuleta.kama wewe mwanaume kweli nakukaribisha sana.namba hiyo hapo ukifika nipigie nakuja. Ole wako usije sasa ...
Unampa nani hiyo amri?Case clossed! Sihitaji comments kwenye huu uzi.
Umeongea pointJipime kwanza,unaleta bei yako unauza wewe? Acha kujaribu jaribu kila mtu,unanijua mimi wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka aiweke juu ya nini???Hutaki kuuza una beep watu maana unajua fika hamna wakuinunua kwa bei hiyo...Ukiwa unataka kuuza kitu kuwa serious.
OFA ni J.moss TU alafu kitu chenyewe USED umekiweka juu ya begi
Atleast ingekua mpya..huwezi uza kitu kwa masharti hivyo ETI HAIPUNGUI.
Hyo utauza 250k zaidi ya hapo pia utauza ila mpaka mtu mwenye uhitaji haswaaaaa Atokeee
Ndo jf hyomzee watu wapo busy kukwamishana....ila nmependa ulivyowa handle[emoji2][emoji2]Nimehonga PC na begi lake mkuu,naona wanaume wa humu wanaimba taarabu tu hapa.