Nauza pasi original za Philips

Bila shaka hiyo ni made in China!
Zipo za mpaka 15000 mkuu, ni chaguo la mnunuzi tu, na kama ni aina hii hii ninayoitangaza na umenunua kwa 35,000/= naomba weka hapa ushahidi wa picha inayoonyesha manufacturer, then nitakupa 35000 uniletee pia!
Mimi ninayo made in indonesia kama hiyo unayoitangaza niliinunua Mwanjelwa kwa 35000/=
 
Weka picha halisi za mzigo wako ndugu, kuongeza uhakika wa bidhaa yako maana mabibo siku hizi kunatisha sana huko
 
Brother unauza pasi namba uliyoweka kuwasiliana na wewe haipatikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…