Nauza Original Memory card 16GB kwa bei rahisi.

Nauza Original Memory card 16GB kwa bei rahisi.

Hahaha.... Mkuu hii kitu sio mchezo,yenyewe imenunuliwa 50$, nauza kwa vile nimechacha na UNGA bei juu(UNGA wa mahindi) sina jinsi
 
Hahaha.... Mkuu hii kitu sio mchezo,yenyewe imenunuliwa 50$, nauza kwa vile nimechacha na UNGA bei juu(UNGA wa mahindi) sina jinsi
sasa hiyo mtu atakayenunua lazima awe na high end phone..maana hivi vihuawei vyetu vinaweza kuiharibu
 
Mimi nauza Memory Card 64GB.
50,000T
32eb0894aea83b75e6bbb53adc087d8b.jpg
hii lazma uipatie simu kali,au kwenye camera.
 
Sawa kabisa, kwanza simu yako ikiisha chaji bila kutoa memory, haiingizi chaji hata kwa masaa 100, coz mzigo wake ni mkubwa mno
 
Back
Top Bottom