NAUZA ONKYO home theater receiver HD 4k & 3D

NAUZA ONKYO home theater receiver HD 4k & 3D

Mimi naomba unipe elimu kuhusu home theatre receiver inatumikaje? Kazi yake nini? Mimi napenda hi-fi music system. Embu nipe ufafanuzi kuhusu hiyo receiver yako
 
Onkyo mashine nzuri sana. Mwenyewe natumia pia hiyo. Kalio lake kwa nyuma siku zote zimejaa hadi linaleta raha.

Pole kwa kuamua kuiuza na bahati yake kwa atakayeinunua. Ila naona kama bei ni nafuu sana.... kulikoni?
 
Shukrani pia Boss kwa uwelewa wako na hivi vi2 bei poa sana....& Jioni njema
 
f
Mimi naomba unipe elimu kuhusu home theatre receiver inatumikaje? Kazi yake nini? Mimi napenda hi-fi music system. Embu nipe ufafanuzi kuhusu hiyo receiver yako
Fungua link hii :
itakupa muongozo na uwelewa zaid kuliko text.
 
Kama kuna mwenye hela na anujua mziki achukue hiyo maahine ya onky, ni habari nyingine, ina 945w rated power with 7 .2 chanel @ 135watts. Ina zone 4, zone one unaweza kuitumia kuagalia movi, zone 2, unasikiliza muziki, zone 3, mwingine anaitumia kucheza game na zone 4 kucheki mpira . Vyote hivyo vianfanyika at the some time at the some mashine, kwa kusambaza speker at differnt rooms.kazi kwenu mliozoea subwoofer za mchinaBei ya huyu jamaa ni nafuu sanaaaa. Unaweza i
 
NAUZA Onkyo MODEL: TX-NR818 3D home theater receiver HD 4k , Internet-ready

Bei poa sana 500,000/=

&

NAUZA M-AUDIO MONITOR SPEAKERS za Studio
400,000/ =
Dar es Salaam

Nauza M-AUDIO MONITOR SPEAKERS Za Studio Original from U.S.A zimetumika mwezi 1 U.S.A
Model M-audio V40
Bei Chee 400,000/=

PIGA :0673 122 260 / 0764 876 888
najua ulishauza but nitapata wapi tena kitu kama hiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom