Nauza Oil Filter

Nauza Oil Filter

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,910
Reaction score
2,713
Habari wakuu. Nauza oil filter no 1 za kutoka Thailand. Kila box moja ni laki 3 na kwenye box zinakaa 100. Mabox yapo kumi. Sababu ya kuuza nabadilisha biashara.
 
oil filter moja ni shs 3000/-? hizo ni filter za mashine/magari aina gani?
 
Naomba part number ya hiyo oil filter.

Toyota, Thailand, no. 90915-YZZE1, QTY. 1, engine applicatiön. E-Series, A-seres(exc 4A-G series) , S-series (exc, 3S-GTE) 4K, 5K.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom