NAUZA NYUMBA

NAUZA NYUMBA

anny gervas

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
27
Reaction score
26
Habari wana jf
Nimerudi tena na picha kimfaacho mtu chake nimekumbwa na changamoto kidogo za kuuguza so nimefikia maamuzi haya nauza nyumba ila bado haijaisha
Vyumba 3(viwili master)
Jiko
Sebule
Miguu 40 kwa 40
Store
10m maongezi yapo
Eneo mbagala kwa mbiku(chaboko)2-2.5km kutoka barabarani
 
Attachments

  • 20250520_155935.jpg
    20250520_155935.jpg
    1.9 MB · Views: 22
Habari wana jf
Nimerudi tena na picha kimfaacho mtu chake nimekumbwa na changamoto kidogo za kuuguza so nimefikia maamuzi haya nauza nyumba ila bado haijaisha
Vyumba 3(viwili master)
Jiko
Sebule
Miguu 40 kwa 40
Store
10m maongezi yapo
Eneo mbagala kwa mbiku(chaboko)2-2.5km kutoka barabarani
Wabongo kwenye kutangaza biashara online ni NEI NEI.

Sasa hiyo ni nyumba au pagale?
 
Bei sio mbaya , ila hilo ni pagale.....! Mpaka ije kuitwa nyumba bado kuna mwendo mrefu.!
 
Habari wana jf
Nimerudi tena na picha kimfaacho mtu chake nimekumbwa na changamoto kidogo za kuuguza so nimefikia maamuzi haya nauza nyumba ila bado haijaisha
Vyumba 3(viwili master)
Jiko
Sebule
Miguu 40 kwa 40
Store
10m maongezi yapo
Eneo mbagala kwa mbiku(chaboko)2-2.5km kutoka barabarani
Weka picture.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom