E ex1950 Senior Member Joined Dec 12, 2015 Posts 126 Reaction score 173 Aug 29, 2017 #41 hazard cfc said: Nitakua nakuletea mkuu..fanya kilo tano Click to expand... Pale ni rahisi kuchagua kwa vile wauzaji wako kama wanne tofauti . Napenda sehemu ya mbavu NA slalala ikichanganywa na ngozi yake ikiwa haina mafuta . Kilo zaidi ya nne itakuwa inabaki Mkuu . Nakula kwa kipimo .
hazard cfc said: Nitakua nakuletea mkuu..fanya kilo tano Click to expand... Pale ni rahisi kuchagua kwa vile wauzaji wako kama wanne tofauti . Napenda sehemu ya mbavu NA slalala ikichanganywa na ngozi yake ikiwa haina mafuta . Kilo zaidi ya nne itakuwa inabaki Mkuu . Nakula kwa kipimo .
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,114 Reaction score 137,408 May 27, 2018 #42 hazard cfc said: Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313 Click to expand... Njoo nkuzie kontena kubwa za Plastic nzuri sana kwa kuwekea nyama Ova
hazard cfc said: Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313 Click to expand... Njoo nkuzie kontena kubwa za Plastic nzuri sana kwa kuwekea nyama Ova
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,523 Reaction score 14,002 May 28, 2018 #43 Brightfame said: Nitunzie korodani na makanyagio Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wewe ni KE nini? Maana wao ndio wanapenda kula korodani na mbor. tena hupenda yale makubwa makubwa!!
Brightfame said: Nitunzie korodani na makanyagio Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wewe ni KE nini? Maana wao ndio wanapenda kula korodani na mbor. tena hupenda yale makubwa makubwa!!
Bacore JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 225 Reaction score 232 May 28, 2018 #44 hazard cfc said: Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313 Click to expand... poa
hazard cfc said: Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313 Click to expand... poa
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,378 May 28, 2018 #45 hazard cfc said: Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313 Click to expand... Jamani na sie tuleteeni huku Zenji.
hazard cfc said: Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo, Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi Wote mnakaribishwa kuweka order zenu +255752563313 Click to expand... Jamani na sie tuleteeni huku Zenji.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,774 Reaction score 15,554 Jun 2, 2018 #46 Jorochere said: Mkuu Nani kaharamisha ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nabii wa kiarabu
Jorochere said: Mkuu Nani kaharamisha ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nabii wa kiarabu