Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,812
- 11,501
Nokia 5130c-2 ina function vizuri bado ina muonekano mpya ime2mika miezi 2. Ina charger yake. Bei elfu 95. Nauzia shida ya kuongezea ada yangu. Namba 0713 522353
iyo bei ipo juu sana.
kwa hyo bei ht ungekuw ume2mia ck moja..yn hyo cm ya kawaida xana,me nimenunua juzi nokia e65 elf80!embu jaribu kukompare,kwnz cm za java zshapitw na wakati,..
Dont be rude, ni dalili ya ushamba.
Ukisema simu za Java zimepitwa na wkati kwanini bado zinatengenezwa, inawezekana E65 yako ulinunua kwa teja kwa bei hiyo.
Mimi juzi demu wangu kanihonga SONY Xperia, kwa hiyo na mimi nimkane mshkaji kwa vile yangu nilipewa bure?
#maanina!#