Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
Wadau ninauza my Nokia N900 ina mwaka mmoja na ipo katika khali nzuri. Ina 32GB built in na memory card ya 16GB. Nimeamua kuiuza sababu ya matatizo tu. Bei ni kuanzia 450,000/- ina ina accesories zote. Mie niliinunua tshs 750,000/-
Kaka kwa lake nne kamili nafunguka. Ipo katika khali nzuri. Mie nipo Mwz ila hata kama upo Dar naweza kuituma asubuhi kwa precision nikakuelekeza sehemu ya kwenda kuchukulia.Fanya 300,000 nikutoe fasta
ungeweka na picha za uhalisia wake kwa sasa baada ya matumizi ya mwaka mmoja!
tuwekee picha kaka