Ni rangi nyeusi,8gb internal memory,inapiga net kama kawa,haina scratch,imetumika miezi mitatu tu. Bei ni laki 3 unusu/350000, nitext 0659604089
lumia 610
kwanini unaiuza?
Nokia Lumia ziko model nyingi wewe unauza model gani?hizi Lumia nyingi ni maumivu