Tearish Member Joined Feb 23, 2013 Posts 81 Reaction score 31 May 18, 2013 #1 Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.3800000 maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075
Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.3800000 maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075
F faysal Senior Member Joined May 14, 2013 Posts 102 Reaction score 31 May 18, 2013 #2 Tearish said: Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.{3,800,000/=} maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075 Click to expand... milioni tatu na laki nane upo serious au? Ina kitanda?chupa ya chai?vitafunwa?lunch?dinner?juice?choo?
Tearish said: Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.{3,800,000/=} maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075 Click to expand... milioni tatu na laki nane upo serious au? Ina kitanda?chupa ya chai?vitafunwa?lunch?dinner?juice?choo?
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,751 Reaction score 46,270 May 18, 2013 #3 Tearish said: Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.3800000 maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075 Click to expand... Mkuu bei yako mbona kubwa sana au unamaanisha 380.000, tatizo la hizo simu zinakataa M-Mpesa, Tigo pesa.
Tearish said: Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.3800000 maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075 Click to expand... Mkuu bei yako mbona kubwa sana au unamaanisha 380.000, tatizo la hizo simu zinakataa M-Mpesa, Tigo pesa.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 946 May 18, 2013 #4 Tearish said: Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.3800000 maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075 Click to expand... Haiwekewi vouchers????????
Tearish said: Simu.nokia lumia 800 GB .16 rangi.nyeusi Vifaa.vifaa vyote vipo Condition.ipo ktk hali nzuri haina mikwaruzo wala tatizo lolote Bei.3800000 maelewano yapo. nimeitumia miezi 4 Mawasiliano.0768811075 Click to expand... Haiwekewi vouchers????????
Abdillahjr JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 694 Reaction score 320 May 18, 2013 #5 mandieta said: Haiwekewi vouchers???????? Click to expand... Bei ya mabepari wa kihaya hiyoo!!!! Ila naamini ana Manish laki 3
mandieta said: Haiwekewi vouchers???????? Click to expand... Bei ya mabepari wa kihaya hiyoo!!!! Ila naamini ana Manish laki 3
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,113 May 18, 2013 #6 Ritz said: Mkuu bei yako mbona kubwa sana au unamaanisha 380.000, tatizo la hizo simu zinakataa M-Mpesa, Tigo pesa. Click to expand... Simu hzo zna matatizo lukuki. Bora mtu atumie mchina
Ritz said: Mkuu bei yako mbona kubwa sana au unamaanisha 380.000, tatizo la hizo simu zinakataa M-Mpesa, Tigo pesa. Click to expand... Simu hzo zna matatizo lukuki. Bora mtu atumie mchina
K kambi tata Senior Member Joined Oct 13, 2012 Posts 114 Reaction score 18 May 18, 2013 #7 Weka Picha Kaka!! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tearish Member Joined Feb 23, 2013 Posts 81 Reaction score 31 May 18, 2013 Thread starter #8 Samahani wadau bei ni laki tatu na elfu themanini. 380.000/=ni makosa ya kiuandishi tu. Namaanisha toka ninunue nimetumia miezi 4 tu. Ni kweli Pia simu za Nokia lumia hazikubali masuala ya pesa.
Samahani wadau bei ni laki tatu na elfu themanini. 380.000/=ni makosa ya kiuandishi tu. Namaanisha toka ninunue nimetumia miezi 4 tu. Ni kweli Pia simu za Nokia lumia hazikubali masuala ya pesa.