Nauza njiwa na tausi bei chee

Nauza njiwa na tausi bei chee

kuna njiwa original na fake njiwa original shingo inacheza cheza na manyonya meng mkian na mkia unachanua googlr american fan tail pigion uone bei yake ya dunia
Heeh mkuu njiwa feki na Og tena? Aiseeee
 
kuna njiwa original na fake njiwa original shingo inacheza cheza na manyonya meng mkian na mkia unachanua googlr american fan tail pigion uone bei yake ya dunia
Sawa mkuu Asante kwa kutujuza
 
Sokoni tandika DSM 25000
Vp huyo feki mkuu
IMG_20171029_181012.jpg
 
Nataman kufug njiwa ila wanasababisha /kuvuta negative power in a house
 
Ila mkuu why ukrosishe njiwa na tausi! Mbona mnajitafutia moto bila sababu!
 
Original wanaenda mpaka laki tano mmoja pair milioni. Niliwaona Zanzibar.
Njiwa mzuri mpaka anajijua mzuri. Manyoya ya shingoni ni kama simba !
Hahah!! eti njiwa mzuri mpaka anaringa... poa mkuu nmekusoma
 
Mkuu hapa Dar mujini,
50 haitoshi Hata kwa siku moja ya kujiachia na Mchumba mpya kwa manywaji,makulaji na Supu asubuhi siku ya pili yake.

Kifupi ukilazimisha kulinganisha vitu kwa style yako hata kula unaweza kuona hakuna maana.
naona hujaelewa nini namaanisha ila nakuambia tu kufuga njiwa ni starehe
 
Back
Top Bottom