Nauza njiwa na tausi bei chee

Nauza njiwa na tausi bei chee

Musulito

Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
22
Reaction score
14
Njiwa taus ni njiwa kutoka nje ya nchi usa na arabian country njiwa hawa ni crossing ya taus na njiwa hawana magonjwa rahisi kuwafuga wanapendeza lengo la ni urembo thamani yake mpaka laki tatu kwa wawili ila mimi nauza kwa bei ya jumla elfu 50 tu kwa pair yaani wawili nipo Dar ukonga nimeambatanisha na picha zao mawasiliano 0766059506
 
IMG_20180319_105233.jpg
IMG_20180321_120023.jpg
 
Hivi tausi tunaruhusiwa kufuga Nlijua ni nyara ya serikali

Ova
 
hiyo 50k
napata jogoo moja shababi kabisa la 15000 na makoo 3 wa 12000 naanza maisha
Mkuu hapa Dar mujini,
50 haitoshi Hata kwa siku moja ya kujiachia na Mchumba mpya kwa manywaji,makulaji na Supu asubuhi siku ya pili yake.

Kifupi ukilazimisha kulinganisha vitu kwa style yako hata kula unaweza kuona hakuna maana.
 
Back
Top Bottom