Nauza nguruwe

Cheer5555

Senior Member
Jun 29, 2013
173
200
Mambo vp mazee.
Mimi ni mfugaji mdogo wa nguruwe. Sasa ninao nguruwe waliofikia umri wa kupandishwa au kuliwa. Ninawauza. Na wapo mbeya. Kwa anaehitaji Karibu anipm.
 
Mkuu

Naomba uweke number yako ya simu nikupigie tuongee biashara.
 
Ndugu yangu Cheer5555 umefanya bonge la kosa, huwezi kuweka tangazo bila mawasiliano ni bora usiweke tangazo, sijui hii iko vipi kaka
 
Pouwa kaka. Njua mwenye uhitaji atanipm kisha huko PM tutapeana manamba kaka
 
Back
Top Bottom