Nauza ng'ombe

Nauza ng'ombe

Wew jamaa huna akili,
wewe ndo huna kwa sababu hujui hata ng,ombe wako ana kilo ngapi au umepewa ukachunge na baba ukapiga picha unaoshea humu JF mpeleke mnadani mkuu huku JF hakuna mnada wa kuuza ng,ombe wagonjwa.
 
wewe ndo huna kwa sababu hujui hata ng,ombe wako ana kilo ngapi au umepewa ukachunge na baba ukapiga picha unaoshea humu JF mpeleke mnadani mkuu huku JF hakuna mnada wa kuuza ng,ombe wagonjwa.

Ucjali kijana. Acha dharau na kuleta mzawa hili ni jukwaa siliasi.
 
Aisee hii thread imenipa raha sana. Ila we muuza ng'ombe tafadhali kuwa seriouz kidogo. Kuna mambo mengi unatakiwa kujua wakati wa kuuza ng'ombe. Baadhi ya mambo hayo ni kama breed type , killo zake , miaka , na mengne. Lakini pia najiuliza wewe ulimpatia wapi huyu ng'ombe?
 
1.Ana kilo ngapi?
2.ana umri gani?
3.ni jinsia gani?
4.kama ni wakike alishazaa mara ngapi?
5.ni mkorofi au mpole? maana kuna wengine ni wakorofi kama wachawi vile.
6......................................
7.......................................
 
Aisee ng'ombe kauzwa,nilimuona maeneo ya Tazara Dsm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom