Wapo ng'ombe watatu, mmoja kati yao mkubwa wa kwanza ana mimba ya miezi mitano, wengine wawili jike na dume size ya kati, hivyo wote hawa nawauza kwa sh milioni 1.9 tu, wana uwezo kutoa lita 12-15 kwa siku kulingana na matunzo yako, pia aina hii ya chotara ni himilivu kwa magonjwa na mazingira pia, napatikana Dar- pugu kajiungeni njia ya kisarawe, piga simu 0783 662495