Nauza neti za kisasa kwa bei nzuri kabisa

festo saimon

Member
Dec 20, 2016
6
0
Pata neti za kisasa kwa sh 53000tsh zipo 5*6 na 6*7 tupo Kariakoo mtaa wa Agrey na Sikukuu na pia huwa tunafanya delivery free kwa wateja wa DSM.
e96e04d9ee8cba68f4e58c7627596c00.jpg
 
MWANZA tutakutumia kwenye kisese au zuber na simiyu tutatumia basi la simiyu express nichek 0657035125
 
Hizi zako zikoje? Maana nlikuwa nayo ila vibomba vyake ni laini sana vikijikunja ukikunjua umevunja.
Na vipi hayo matandiko/shuka naona zina fanana na net je, mnatoa pamoja na net!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom