habari wadau....ninauza nazi konki kabisa kutoka lindi kwa bei ya jumla.Nazi kubwa nitakuuzia kwa 750 na za saizi ya kati kwa 600.Nazi ziko nyingi na ziko vizuri vimekomaa na kukauka.Kwa anayehitaji nicheki PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.