Nauza mti wa Mvule

Nimepata wateja 3 wa kununua huo mti. Ofa yao laki 3+ hapo si napigwa za uso wazee?

Thamani ya huu mti naikadiriaje?
nenda mali asili kaombe vibali vya kuchana huo mti,
kama utafanikiwa chana mbao pana ya (1*10)ya futi 7 na kuendelea na boriti za (2*6) futi 7 na kuendelea huku kwetu futi moja ya mvule ni 1500 kwa huko jijini dar inaweza kuwa zaidi ya hapo usiuze kama mti watakulalia bei
chanisha huo mti uza mbao
 
Nimepata wateja 3 wa kununua huo mti. Ofa yao laki 3+ hapo si napigwa za uso wazee?

Thamani ya huu mti naikadiriaje?
Kubali haraka sana hata kama utakayemuuzia ataenda kupata milioni 10. Chukua hizo laki 3+ maana pia nba uhakika hujaingia gharama yoyote kuufanya huo mti uwe kama ulivyo.
 
[emoji23] kwanini nikubali haraka sana hahaha. Au huo mti ni timing bomb
Huo mti si wako kabisa halafu kama utaamua uuchane ww, gharama utakazoingia zitakuwa kubwa kuliko utakachopata. Wewe chukua 300+ fanya yako. Pia ikitokea Kijiji wana mradi wao, wanaweza kujenga hoja wautumie huo mti na huwezi kuuzuia. SIWA WAKO. Hiyo nchi sheria zake mbovu za kuwabana raia wake ndio chanzo cha umaskini wake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…