Nauza Modem za zantel kwa sh 15,000/=

Nauza Modem za zantel kwa sh 15,000/=

Kibela

Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
58
Reaction score
10
Ni za CDMA,zina offer ya 3 days unlimited....Ni PM kwa maelezo zaidi,Speed Up to 3.1Mbps
 
Hiyo bei uliyoitaja ndio Bei halali Zantel Wametoa Punguzo za Modem zao zote Bei ya Zamani ilikuwa ni 25,000/= na Sasa bei itakayokuwepo madukani ni 15,000/= Usiuziwe zaidi ya bei hiyo.... na offer zao ni kama kawaida
 
Na bundle zao zikoje?
Kwa wiki?
Kwa mwezi?
 
Ni za CDMA,zina offer ya 3 days unlimited....Ni PM kwa maelezo zaidi,Speed Up to 3.1Mbps

Naomba sana sana nitumie private message ili unipe no. yako nikupigie maana labda umeona kutoa namba yako hapa si vyema
NAHITAJI MODEM YA ZANTEL
 
Hiyo bei uliyoitaja ndio Bei halali Zantel Wametoa Punguzo za Modem zao zote Bei ya Zamani ilikuwa ni 25,000/= na Sasa bei itakayokuwepo madukani ni 15,000/= Usiuziwe zaidi ya bei hiyo.... na offer zao ni kama kawaida

kumbeeeee
ushamharibia huyu nae maana badala ya kutuambia zinapunguzo amejidai ati zake yeye ndio bei poa
 
ndugu ndio umeghairi biashara au?? maana nimku-pm na namba yangu nimekupa ila sijaona impact yeyote!!
 
bei ambayo anataka kuuza ni bei ya wenyewe zantel 15,000, itakua yeye anachukua kwa jumla
 
Back
Top Bottom