SONGEAKWETU
Member
- Jul 13, 2015
- 18
- 13
Wandugu salaam
Nina Ekari zangu kadhaa za Ardhi mkoani Morogoro. Nimeamua kuziendeleza kwa kuanza kilimo hivyo wakati naandaa shamba niliamua kutengeneza Mkaa kutokana na magogo niliyoyatoa shambani. Nimepata magunia 545 ya Mkaa.
Kwa kutambua kuwa Mkaa ni bidhaa inayohitajika sana hapa Dar es Salaam, ninauza Magunia hayo ya Mkaa kwa bei nafuu sana. Kwa mhitaji wa kuanzia magunia 20 na kuendelea nitamfikishia mpaka mlangoni kwake. Bei ya kila Gunia ni tsh 34,000.
Karibuni
0789 520210