Nauza mipira mikubwa ya maji

sedouf

Member
Joined
May 6, 2011
Posts
28
Reaction score
10
Habari kwa Mara nyingine tena wanaukumbi. Napenda kuwajuilisha kuwa mbali na Mashine za mbao ambazo nishaziainisha katika posti iliyopita pia nipo na mipira mikubwa ya maji. Wanaoihitajia wanaweza kuwasiliana nami 1(647) 706 3114
 
Attachments

  • IMG_20151205_153708109.jpg
    305.9 KB · Views: 304
  • IMG_20151205_153658238.jpg
    256.1 KB · Views: 232
  • IMG_20151205_153646853.jpg
    289.9 KB · Views: 221
  • IMG_20151205_153552800.jpg
    224.4 KB · Views: 218
  • IMG_20151205_153541091.jpg
    293.4 KB · Views: 199
Hii ndo biashara yako unafanya au ni mzigo wa dili unatusukumia
 
Habari kwa Mara nyingine tena wanaukumbi. Napenda kuwajuilisha kuwa mbali na Mashine za mbao ambazo nishaziainisha katika posti iliyopita pia nipo na mipira mikubwa ya maji. Wanaoihitajia wanaweza kuwasiliana nami 1(647) 706 3114

Ni ya inchi ngapi mkuu na yana urefu gani?

Sprinkler unazo? Kama unazo zina uwezo wa kurusha maji umbali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…