gods daughter
New Member
- May 2, 2019
- 1
- 0
JIPATIE FRIJI NDOGO ZINATUMIA AC,DC HIZI UNAWEZA WEKA HATA KWENYE GARI UKAITUMIA BILA SHIDA
BEI 100,000
0659965555
BEI 100,000
0659965555
Anamaanisha kuwa unaweza kutumia kwenye umeme wa tanesco pia unaweza ukatumia umeme wa betri za gari au solarUnaposema zinatumia AC, DC unakuwa umemaanisha nn embu nieleweshe tufanye biashara
OK mkuu ubarikiwe nanimekuelewaAnamaanisha kuwa unaweza kutumia kwenye umeme wa tanesco pia unaweza ukatumia umeme wa betri za gari au solar