Nauza Mihogo: Kilo moja kwa 150k

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,101
Reaction score
98,428
Umofia Kwenu,
Wadau nina kilo 500 za Mihogo huku maeneo ya minjingu,bei ni laki na nusu kwa kilo moja,kama upo vizuri ni PM tufanye biashara,Kama unataka uletewe hadi dsm basi kilo moja ni 2mils.
 
Umofia Kwenu,
Wadau nina kilo 500 za Mihogo huku maeneo ya minjingu,bei ni laki na nusu kwa kilo moja,kama upo vizuri ni PM tufanye biashara,Kama unataka uletewe hadi dsm basi kilo moja ni 2mils.

Napita hapo mdori saa 10 tafadhali niwekee kilo 500. Ishakuwa packed tayari kidiplomacy ili isiwe tabu pale njiapanda ya ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…