Nauza mchele wa Mbeya

Nauza mchele wa Mbeya

King Hongi

Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
9
Reaction score
10
Habari za midaa hii wadau!

Nauza mchele wa mbeya napatikana Kimara Dar es salaam.

Bei.
Grade 1= tshs 2000/kg
Grade 2=tshs 1900/kg

Ukichuku kuanzia tani moja free delivery kwa dar es salaam tu.

Contact: 0627 963614

Asante.
 
Nakutumiaa mkuu bt utagharamikia gharama za usafiri
Mfano naomba unipunguzie bei hapo kwenye grade 1, ili tusihumizane wote, nipate kupata salio la usafirishaji utanifanyia ngapi kwa 50kg or 70kg?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom