Nauza mbwa

Nauza mbwa

flafy

Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
41
Reaction score
11
Nauza mbwa aina ya maltese bei ni laki nne maelewano yapo kwa number hii 0719708708
f9f7d793a88271dd33320a362bb30577.jpg
d148327bc69f24e519584f9e0041a328.jpg
117afd9e2d659a257b6609ba062b829a.jpg
ameshachomwa chanjo zote karibuni amebakia huyo.
 
he he heee, heee, waje waniume eti eeeh, uuwiiiii.
 
Huku kwa wamang'ati hiyo laki nne unapata mbwa 40, huyo ana nini cha mno?
 
kuna jamaa yangu wa Iringa kamuelewa sana...ila asema bei kubwa na kanyama kadoogo
 
Kambwa kazuri kwakweli bt kanahitaji care na matunzo ya hali ya juu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom