Nauza mbwa

Nauza mbwa

Nakushauri tu kama upo Dar na huyo mbwa anadocument zote, mpige picha kaweke tangazo kwenye supermaket za kule Masaki na Mikocheni na bei hata ukiweka dolla 500 utapata wateja fasta.
 
Kuna mbwa kama huyo huwa anakatisha hapa nje kumbe wana thamani hivyo,.ngoja nifanye mafekechee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom