Nauza Mbwa Germany Shepherd wa Miezi Mitano

Nauza Mbwa Germany Shepherd wa Miezi Mitano

JBN

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
84
Reaction score
15
Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/= Photo-0146.jpgPhoto-0149.jpg
 
Sifa za Ziada za huyo Mbwa kulinganisha na Tandale shepherd ni zipi
 
Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=View attachment 172952View attachment 172953

Mkuu miezi mitano mbona kama wanaonekama wana umbo ndogo ama ni picha?, ama ni breed ya kawaida na german shephard?, mimi nina breed mix ridgeback na wakibongo miezi mitano lakini ukimwona utafikiri ana mwaka
 
Back
Top Bottom