Huu ndio msimu wa mvua za masika umeanza, kwa wale wakulima wa mananasi ukanda wa pwani hasa Rufiji na Mkuranga, mbegu za mananasi zinapatikana Rufiji karibu na Jaribu.kwa anaehitaji anipigie 0784432979. kila mche ni shs 120/= usafiri juu yako. Asanteni

Mkuu mbona bei kubwa hivyo. Nimesoma mahali upande wa Bagamoyo hadi Kiwangwa mche wa nanasi unauzwa kati ya Tshs. 30 - 45. Mwaka huu shambani huko ukanda wa Rufiji mmeuza kiasi gani Kwa nanasi moja? Asante.

Hii ndio bei za mbegu Rufiji, nanasi za kule ni kubwa wanaziita mpingo, moja inaweza kuwa hadi kg 5-7. Bei ya shambani ni wastani wa tshs 1,000 kwa nanasi moja.

OK mkuu. Huko Wakenya hawafiki naona. Naambiwa huku ukanda wa Kiwangwa na Fukayosi, Bagamoyo Wakenya wanakuja hadi shambani na wananunua kilo moja Kwa Tshs. 560. Kwahiyo nanasi la kilo 5 unapata Tshs. 2,800, utajiri nje nje sasa hapo.

Yaani nikiwapata mbona nakua tajiri? hebu nipe contact za hao wakenya aisee. Nilienda kwa Bakhresa akasema yeye ananunua kilo moja shs 250 lakini hakuna mtu anampelekea nanasi, inabidi aagize nje. Kwa hiyo kama kuna wakenya wananunua kwa shs 560 niko tayari kuwapelekea hata huko bagamoyo.