Tabash yamashta
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 271
- 210
nataka kulima vitunguu mwezi wa tano moro una mbegu ipi nyekundu nyeupeKwnza kabisa nijukum langu kua salim ,,wana jf habari zenu?,, pia napenda kuwa tangazia wakulima Wa vitunguu yakwamba Nina mbegu bora ya vitunguu Nauza Bei safi kabisa, KW mawasiliano Mp or 0765456685" Ulipo tupo Napatikana Arusha chugga ndani,
kama ni muhitaji? utahitaji tu, kama ni wamaneno utabaki kuwa wa maneno tu, Tangazo la mbegu ya vitunguu, kwamba Tunauza mbegu ya vitunguu ,,Hapo huelewi nini??Sijui kama utauza humu.yaani tangazo lako Lina maswali wengi sana Kwa mnunuzi namba ya simu sio suluhisho rekebisha tangazo na watu watakutafuta.
Ndio utupe mkanda mzima na wengine tujifunze maana tusha andaa mashamba tunajishauri tuweke nyanya au vitunguu.. Funguka plsVitunguu,sina hamu navyo
Ni hadithi ndefu,,Ndio utupe mkanda mzima na wengine tujifunze maana tusha andaa mashamba tunajishauri tuweke nyanya au vitunguu.. Funguka pls
Yaani wewe subiri nikuache Kwa kutojielewa Na wanunuzi wakokama ni muhitaji? utahitaji tu, kama ni wamaneno utabaki kuwa wa maneno tu, Tangazo la mbegu ya vitunguu, kwamba Tunauza mbegu ya vitunguu ,,Hapo huelewi nini??
Mkubwa unashamba ktk wilaya ipi me nipo wilaya ya mvomero naomba tuwasiliane.nataka kulima vitunguu mwezi wa tano moro una mbegu ipi nyekundu nyeupe
huenda mlizidisha mboleaNi hadithi ndefu,,
Ila kwa ufupi tulilima vitunguu na hatukuambulia hata cha mboga
Kuna mtu jana nime mwambia Nataka kulima nyanya na vitunguu akaniambia kama ni kijijin.. Je nimeaga kwetu , nikawa sijamuelewa akaniambia kabla ya kulima lazima uende kwa babu maana watu ni washirikina unalima wanachukua mazao yako bila kujua..
So mm jibu langu nikuwa nguvu ya mugu nilionayo wala sitishiki.. Nitapiga sala katika shamba husika na nita bariki udongo husika kwa maji ya baraka.. Na Hakuna nguvu iyakayo chezea shamba langu..