makondekoujiji JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 384 Reaction score 500 Jun 3, 2017 #1 Habari, Nina mbao 12(4 by 2) za mti wa mtiki ambazo nilipewa na bosi wangu ambae huwa ana export mbao hizi. Zina urefu wa futi 8 . Bei ubao mmoja 25000. Karibuni.
Habari, Nina mbao 12(4 by 2) za mti wa mtiki ambazo nilipewa na bosi wangu ambae huwa ana export mbao hizi. Zina urefu wa futi 8 . Bei ubao mmoja 25000. Karibuni.