Nauza mbao kwa bei nzuri

Nauza mbao kwa bei nzuri

Sibaru

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
47
Reaction score
45
Karibu nikuuzie mbao za futi 12 size zote kutoka iringa bei zetu ni nafuu sana tunapatikana buguruni dar, mawasiliano piga 0762 282 526
 
Attachments

  • IMG_20180822_172815.jpg
    IMG_20180822_172815.jpg
    232.3 KB · Views: 161
  • IMG_20180822_173011.jpg
    IMG_20180822_173011.jpg
    209.7 KB · Views: 144
  • IMG_20180822_172859.jpg
    IMG_20180822_172859.jpg
    162.9 KB · Views: 119
  • IMG_20180822_172808.jpg
    IMG_20180822_172808.jpg
    217.7 KB · Views: 110
Bei za mbao untreated ni 2×4=5200, 2×6 =7000, 2×2=2500, 2×3= 3200, 1×8= 10,000, 1×10=12,000, 1×4= 2500, 1×6= 5000 na kwa mbao ambazo ni treated inaongezeka sh 500 kwa kila ubao karibu
 
Una vibali halali vya kufanya hiyo biashara?
 
Njoo uuzie upewe na risiti zote unazostahili acha uswahili bhana
Mkuu mpotezee tu huyo jamaa,ukiona hivyo si mteja, watu wanaoishi kwao wao na mbao wapi wa wapi, mana huyo jamaa nilitana nimetangaza nyumba kimara akaja na comment yake kue "Haina mauza uza" nikaamua kumpotezea, so ni jamaa anaekuja kuharibu tu mpotezee
 
aisee, kweli issue za biashara ni ngumu sana kuzielewa .

bei ya mbao hapa morogoro mjini iko juu zaidi ya dar es salaaam.

wakati mbao zote zinatoka iringa.

nyie wauza mbao wa hapa fire~morogoro mjini mungu anawaona !

nimenunua mbao za kenchi
5500
zile za papi 3500

hapo bila dawa.
najiuliza kwa usafirishaji kutoa mzigo mufindi ( Iringa ) kuja moro au dar wapi ni gharama nafuu kidogo ?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
don't take jf too serious..kuna wengine wanaingia humu wakiwa wamelewa.so ukianza kupigizana kelele na watu ka hao utajikuta unaumia mwenyewe tu.
 
Mkuu mpotezee tu huyo jamaa,ukiona hivyo si mteja, watu wanaoishi kwao wao na mbao wapi wa wapi, mana huyo jamaa nilitana nimetangaza nyumba kimara akaja na comment yake kue "Haina mauza uza" nikaamua kumpotezea, so ni jamaa anaekuja kuharibu tu mpotezee
Nashukuru mkuu nimekuelewa bahati mbaya sana watu kama hao wapo na tunaishi nao kwenye jamii zetu
 
aisee, kweli issue za biashara ni ngumu sana kuzielewa .

bei ya mbao hapa morogoro mjini iko juu zaidi ya dar es salaaam.

wakati mbao zote zinatoka iringa.

nyie wauza mbao wa hapa fire~morogoro mjini mungu anawaona !

nimenunua mbao za kenchi
5500
zile za papi 3500

hapo bila dawa.
najiuliza kwa usafirishaji kutoa mzigo mufindi ( Iringa ) kuja moro au dar wapi ni gharama nafuu kidogo ?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivyosema mwanzo mkuu issue za biashara ni ngumu kuzielewa unaweza kukuta bei ya mbao iringa mjini ni kubwa kuliko dar lakini hapo kinachoangaliwa zaidi ni mzunguko kwamba wa Moro anaweza kushusha mzigo akauza zaidi ya mwezi hapo bei lazima iwe kubwa kuliko wa dar ambae atamaliza kwa mda mfupi
 
Karibu nikuuzie mbao za futi 12 size zote kutoka iringa bei zetu ni nafuu sana tunapatikana buguruni dar, mawasiliano piga 0762 282 526
PM yako umefunga? Au a/c yangu ndo inasumbua mana nimekupm naambiwa not supported
 
Back
Top Bottom