Mkuu bei haiko uniform..factors ni nyingi!Hivi Mazda CX-5 Ina bei gani??, na je yenyewe na Forester hizi mpya ipi nzuri!
Kwa makadirio ni ngapi ?Mkuu bei haiko uniform..factors ni nyingi!
Kuna watu wanasema km 18 kwa lita 1 ya weseConsumption yake kiasi gani?
Kwani Kuna ya majini??Mazda ya majini au barabarani mkuu?
Asante sana kwa mrejesho huu, bora nirudishe mguu kwenye hizi nyingineMazda milion 48 pamoja na usajiri
Subaru Forester milion 41 pamoja na usajiri
Labda iwe 2017 kuja juu..Mazda milion 48 pamoja na usajiri
Subaru Forester milion 41 pamoja na usajiri
Anhaa, maana nili baki kunywa wazi- nika waza kweli nime zidiwa sanaNamaanisha ambayo haijasajiriwa