Nauza mayai ya kwale (quails)

Nauza mayai ya kwale (quails)

Kiteitei

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2009
Posts
1,600
Reaction score
1,575
Ninafuga ndege aina ya kwale na wameanza kutaga,kwa wale wanaoitaji tafadhali twende pm, bei ya trei moja (mayai 30) ni shilingi 15,000 tuu, napatikana dsm tegeta, ahsante
 
Nimesikia mayai ya kwale ni tiba ya kisukari jamo hili lina ukweli ama?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom