Nauza mashuka orijino

Nauza mashuka orijino

Sawa it depend una penda vitu vya aina gani boss
Unavyosema og unatumia kigezo Gani kuongea ivyo.
Na ambayo sio original yakoje ama manufacturer ni nani ?
Usiseme kuwa unapenda vya aina Gani , najua saikolojia ya watu wanajua wakiona Bei kubwa wataamini kuwa ndio Bora while isn't guarantee.
Pia ukinionyesha kuwa napenda Bei chee Mana yake mie ni WA kiwango kidogo ama mie Nina uwezo mdogo Mana by nature Kila binadamu anataka awe juu hakuna anayetaka kuonekana wa chini. Sasa huu ujinga ambao binadamu mnyama ameumbwa nao ni edge kwa wafanyabiashara kuwapiga binadamu.
Mtu ananunua bidhaa Bali brand ili na yeye ajione yuko matawi.
This is mind game and nothing else.
Kuna kampuni za ulaya zinachukua mikoba ya Gucci huko china wanapiga chapa made in Italy,France or Germany wanapiga hela. Yaani hakuna kitu kizuri Kama biashara hapa duniani.
Hata mashule mengine yanacheza na jina wakati kitabu cha fizikia ni kile kile ama maji ya buku Kuna mahala yanauzwa alfu Tano ili na wewe mkubwa
 
mambo vip wa dau

Mlisema nisitegemee mshahara tu nitafute kazi ya kufanya nyingine kama sio kufungua cafe basi nibuni kitu kingine haya nimekuja na hili hapa bei 50k 0774078650 text us ukitukosa jaribu wasp

View attachment 3444964
Mkoani tuna tuma
View attachment 3444965
Foronya nne
View attachment 3444967
Hii
View attachment 3444968Makubwa sana
View attachment 3444971
Ukubwa ni 8 kwa 8
Pure cotton
Haya chuji wala kupauka
Foronya 4 shuka 2
Umetorahisishia kazi sisi wang'oa kucha. 😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom