Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,786
- Thread starter
- #41
Asante sanaKazi nzuri
Asante sanaKazi nzuri
Hapana kaka haifai pia la kwanza lime chukuliwa hapa hapa kakaHi la kwanza veepee nikupe 30,000/-
Hakuna mtu anajua yakoje kwa kugusa,sasa tunajuaje top quality in touchingHapana kaka haifai
oho! Paka asahivi umekopwa na wangapi mkuu 😎Sema kweli
PakstaniNi ya nchi gani haya.
Karibu bossMwachiluwi ntachangia ofisi mdogo wangu
Sija kopwaoho! Paka asahivi umekopwa na wangapi mkuu 😎
acha maneno weyeeeSija kopwa
Kweli mshuaacha maneno weyeee
sidhani 😎🛰️Kweli mshua
Mbezi luis namba ipoLocation ??
Naona kwa Zanzibar bei ipo chini kdgIna maana nyie watu hamjaona hii
Angel Nylon leo dada Bantu Lady Mad Max Madame B shibela Evelyn Salt Numbisa mbwangali kitalembwa Kennedy Half american Atoto Kelsea
AsanteKaribu boss
Ina wezekanaNaona kwa Zanzibar bei ipo chini kdg