Nauza mashuka orijino

Nauza mashuka orijino

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,466
Reaction score
65,778
mambo vip wa dau

Mlisema nisitegemee mshahara tu nitafute kazi ya kufanya nyingine kama sio kufungua cafe basi nibuni kitu kingine haya nimekuja na hili hapa bei 50k 0774078650 text us ukitukosa jaribu wasp

1755501304645.jpeg

Mkoani tuna tuma
1755501332686.jpeg

Foronya nne
1755501359892.jpeg

Hii
1755501401297.jpeg
Makubwa sana
1755501427639.jpeg

Ukubwa ni 8 kwa 8
Pure cotton
Haya chuji wala kupauka
Foronya 4 shuka 2
 
Hahahaha me kwenye bargain labda simu au bei elekezi kama madawa, vyakula, nauli,

Lakini nguo, kiatu, sandals aah nitapoishia mara nyingi wengi wanachukua 😂

Nishamwambia nimpe 25k hataki ??
Hii imezidi mkuu yaani nusu kwa nusu sababu huchukui foronya 😂😂 sibora upewe shuka moja foronya moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom