kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 22, 2018 #1 Habari wanajamvi, mi ninauza mashine ya selcom, ni mpya kabisa, sababu ya kuiuza ni kurudisha pesa yangu maana eneo nililopo hakuna mzunguko wa watu wengi, mashine ni mpya kabisa mwenye laki sita na nusu anipm, maongezi yapo.
Habari wanajamvi, mi ninauza mashine ya selcom, ni mpya kabisa, sababu ya kuiuza ni kurudisha pesa yangu maana eneo nililopo hakuna mzunguko wa watu wengi, mashine ni mpya kabisa mwenye laki sita na nusu anipm, maongezi yapo.
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,825 Reaction score 9,643 Mar 22, 2018 #3 paschal sabai said: Laki 2 ni pm Click to expand... Aiseee laki 6.5 down to laki 2
P paschal sabai Member Joined Apr 5, 2017 Posts 83 Reaction score 73 Mar 22, 2018 #4 Biashara Mzee kama haikulipi haina Tatizo
lolyz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 339 Reaction score 199 Mar 22, 2018 #5 hiyo mashine ya selcom inafanya kazi gani mkuu? ina faida gani?nafikiri sio kila mtu ana uelewa nayo..pia nini tofauti ya hiyo bei ya used vs mpya?
hiyo mashine ya selcom inafanya kazi gani mkuu? ina faida gani?nafikiri sio kila mtu ana uelewa nayo..pia nini tofauti ya hiyo bei ya used vs mpya?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Mar 22, 2018 #6 Nipe namba yako kwenye pm tuongee biashara mwanangu.
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 22, 2018 Thread starter #7 lolyz said: hiyo mashine ya selcom inafanya kazi gani mkuu? ina faida gani?nafikiri sio kila mtu ana uelewa nayo..pia nini tofauti ya hiyo bei ya used vs mpya? Click to expand... Inatoa huduma mbalimbali, kama kuuza luku na zingine
lolyz said: hiyo mashine ya selcom inafanya kazi gani mkuu? ina faida gani?nafikiri sio kila mtu ana uelewa nayo..pia nini tofauti ya hiyo bei ya used vs mpya? Click to expand... Inatoa huduma mbalimbali, kama kuuza luku na zingine
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 22, 2018 Thread starter #8 Mamndenyi said: Nipe namba yako kwenye pm tuongee biashara mwanangu. Click to expand...
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 22, 2018 Thread starter #9 Tayari
lolyz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 339 Reaction score 199 Mar 22, 2018 #10 kiri12 said: Inatoa huduma mbalimbali, kama kuuza luku na zingine Click to expand... Oky
H Heaven Ambassador Member Joined Oct 27, 2017 Posts 91 Reaction score 94 Mar 22, 2018 #11 Nikupe mia mia tatu
Mima white cute JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 740 Reaction score 1,305 Mar 22, 2018 #12 Kitu hata ukikutoa dukani sasa hivi kikishhafika mkononi haina thamani Tena Kwa bei hiyo sawa nadukani hupati kitu
Kitu hata ukikutoa dukani sasa hivi kikishhafika mkononi haina thamani Tena Kwa bei hiyo sawa nadukani hupati kitu
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 22, 2018 Thread starter #13 Mima white cute said: Kitu hata ukikutoa dukani sasa hivi kikishhafika mkononi haina thamani Tena Kwa bei hiyo sawa nadukani hupati kitu Click to expand... We kama huna hela na ahuitaji kaa kimya, wenye shida nayo watakuja
Mima white cute said: Kitu hata ukikutoa dukani sasa hivi kikishhafika mkononi haina thamani Tena Kwa bei hiyo sawa nadukani hupati kitu Click to expand... We kama huna hela na ahuitaji kaa kimya, wenye shida nayo watakuja
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 22, 2018 Thread starter #14 Heaven Ambassador said: Nikupe mia mia tatu Click to expand... Hapana, tano na nusu labda, maana ni mpya mi nataka kurudisha hela ya mashine tu
Heaven Ambassador said: Nikupe mia mia tatu Click to expand... Hapana, tano na nusu labda, maana ni mpya mi nataka kurudisha hela ya mashine tu
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,551 Mar 22, 2018 #15 hata picha basi?
The Messenger JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 1,523 Reaction score 812 Mar 22, 2018 #16 Joselela said: Aiseee laki 6.5 down to laki 2 Click to expand... People always tend to take advantage in your difficult!! Na hii ndo tofauti kati ya "Human being and Being Human"
Joselela said: Aiseee laki 6.5 down to laki 2 Click to expand... People always tend to take advantage in your difficult!! Na hii ndo tofauti kati ya "Human being and Being Human"
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 22, 2018 Thread starter #17 The Messenger said: People always tend to take advantage in your difficult!! Na hii ndo tofauti kati ya "Human being and Being Human" Click to expand... Kweli kabisa watu wanadharau na biashara za watu,
The Messenger said: People always tend to take advantage in your difficult!! Na hii ndo tofauti kati ya "Human being and Being Human" Click to expand... Kweli kabisa watu wanadharau na biashara za watu,
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Mar 28, 2018 Thread starter #18 Mashine bado ipo mwenye kuhitaji aje
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,830 Reaction score 8,246 Mar 28, 2018 #19 kiri12 said: Mashine bado ipo mwenye kuhitaji aje Click to expand... 350k
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,320 Mar 28, 2018 #20 Inaweza kutumika mikoani ? I mean vijijini ambako kuna shida ya mtandao?