Nauza marashi, urembo, nguo, mikoba na viatu

Quinne

Member
Dec 29, 2022
9
6
Tunauza bidhaa mbalimbali zenye ubora na kwa bei nafuu kabisa ni kwa ajili ya jinsi zote wakaka na wadada.Bidhaa zetu ni :-

1.SET ZA ACCESSORIES/UREMBO
Tunauza set za urembo inayojumuisha (saa, bracelet,cheni na hereni).Aina (brands) tofauti kama Rolex,Rado,Lewis,bvlgari na Versace.Zinavutia kimuonekana na hazipauki.Kaka zangu hii ni futsa ya kuwazawadia mama,dada,mke, mpenzi nyumbani.

Price/bei _ set ya Lewis 35000tsh na set ya brands nyingine kama Versace,Rado na Rolex ni sh 50000tsh.
Tunapatikana Kunduchi beach : Mawasiliano/contact 0734123017


2.PERFUMES & BODY SET
Harufu nzuri inamfanya mtu ajihisi vizuri pale anapokaa na kupita sehemu."USIPITWE NA HII KAA KIJANJA!!" Tunauza perfume za aina tofauti kama Victoria secret,Dior sauvage,intense,aventos,creed,montre Leone nk...na ni kwa jinsia zote (wanawake na wanaume).

-Perfumes zetu bei yake ni 35000tsh
-Body set (splash, shower gell na body lotion) 30000tsh

Tunapatikana Kunduchi beach: Mawasiliano/contact 0734123017


3.NGUO, MIKOBA & VIATU
Tunauza nguo za offisin , sherehe na casual.Ni nzuri kimuonekana na materials zake ni nzuri pia.Mikoba na viatu pia ni vizuri sana na kwa bei nafuu

Bei kuanzia 15000tsh - 45000tsh.....Karibuni sana tuwahudumie
Tunapatikana Kunduchi beach: Mawasiliano/contact 0734123017

TUMEAMBATANISHA PICHA ZA BIDHAA ZETU KUONA UZURI WAKE TUNAKUHAKIKISHIA PIA KWENYE UBORA WA BIDHAA ZETU


IMG-20230117-WA0057.jpg
IMG-20221223-WA0094.jpg
IMG-20221223-WA0093.jpg
png_20221215_021356_0000.jpg
png_20230109_165051_0000.jpg
png_20221215_022955_0000.jpg
png_20230111_163904_0000.jpg
20230109_170700_0000.jpg
20230114_201455_0000.jpg
20230114_201603_0000.jpg
png_20230109_153715_0000.jpg
png_20221124_195523_0000.jpg
20221114_232239_0000.jpg
png_20221223_005909_0000.jpg
png_20221215_013745_0000.jpg
20221121_162413_0000.jpg
 

Attachments

  • png_20221215_021356_0000.jpg
    png_20221215_021356_0000.jpg
    34.4 KB · Views: 11
  • IMG-20221223-WA0079.jpg
    IMG-20221223-WA0079.jpg
    96.4 KB · Views: 10
  • IMG-20221223-WA0084.jpg
    IMG-20221223-WA0084.jpg
    95 KB · Views: 13
  • png_20230111_163904_0000.jpg
    png_20230111_163904_0000.jpg
    41.9 KB · Views: 13

Similar Discussions

Back
Top Bottom