Tuntufye andengenye
Member
- Jan 16, 2014
- 15
- 1
mananasi yanauzwa makubwa yanapendeza yanaanzia shilingi 2000 na kuendelea na pia unaweza kuchukua hata kwa jumla
namba ya simu; 0658377013
0712660380
0714624950
tunapatikana dar es saalam
jenga afya yako unasubiri nini:d:d:d:d
/attach]
Acha tamaa,mananasi bado mabichi sana aisee,utafikiria mtu anaenda kupika
Yana Maji ya kutosha kama ya Bukoba?
Halafu unapiga picha umevaa jezi ya Barcelona unatuabisha arrro
We Mananasi yenye kuiva sio hayo ya kuchemsha