Nauza mahindi, yanapatikana Morogoro.

Nauza mahindi, yanapatikana Morogoro.

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Wakuu kwa anayehitaji mahindi anijulishe tafadhali.

Nauza mahindi nina gunia za debe sita kama 15.

Anayehitaji anipe bei tufanye biashara sitaki mwembwe wala ubabaishaji.
 
Nanunua zote hizo kwa elfu arobaini na sita na mia tatu khamsini
 
Mkuu kama uko serious Tangaza Biashara yako vizuri. Weka bei unayo uza na namba za simu.
 
Wakuu kwa anaehitaji mahindi anijulishe tafadhari nauza mahindi nina gunia za debe sita kama 15 ...nauza

Nipe bei tufanye biashara sitaki mwembwe wala ubabaishaji
Nilijua una angalau mzigo wa fuso kumbe gunia 15 peleka soko la mahindi pale fire kwa mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom