pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 883 Aug 4, 2013 #1 habari ndugu zangu nauza maharage ya soya ya njano gunia moja la kilo mia ni laki na thelathini nina magunia mia moja na hamsini pia nina magunia machache ya mbaazi kila gunia moja ni laki tatu kwa anaehitaji tuwasiliane kwa pm
habari ndugu zangu nauza maharage ya soya ya njano gunia moja la kilo mia ni laki na thelathini nina magunia mia moja na hamsini pia nina magunia machache ya mbaazi kila gunia moja ni laki tatu kwa anaehitaji tuwasiliane kwa pm
DK The Farmer Senior Member Joined May 27, 2013 Posts 104 Reaction score 17 Aug 5, 2013 #2 Unaptikana wap?