Bei mbona ya kawaida min ππHiyo bei kuna namna apoπ
Hakuna bei ya gari hiyo mkuu 68 kwa hiyo gari sio, no.Bei mbona ya kawaida min ππ
Lete lako la bei ya chini ππHakuna bei ya gari hiyo mkuu 68 kwa hiyo gari sio, no.
Langu ni ist mkuuππLete lako la bei ya chini ππ
JF mtu akileta biashara yake mnaanza kuponda!! Km pesa hamna mseme
Sema nini, makodi yana kosti sana ila gari nyingi bei ni rahisi mno.Lete lako la bei ya chini ππ
JF mtu akileta biashara yake mnaanza kuponda!! Km pesa hamna mseme
Sasa jeuri ya kuiponda bei ya harrier unatoa wapi? πππLangu ni ist mkuuππ