Nauza mafuta ya alizeti

Nauza mafuta ya alizeti. Ni pure kutoka singida.
Hayajachakachuliwa.
Dumu la lita tano ni shi. 18,000
Na dumu kubwa 70,000

Yapo mengi ya kutosha
Wanunuzi naomba wani PM
Ngoja nitume telegramu Singida kuulizia bei yake kwanza halafu ndo nitakuja kwako
 
Waswahili bwana,yeye ametoa tangazo,la maana ilikuwa kumrekebisha pale lilipopwaya-zilipokosekana details,lakini kuanza kumpiku si biashara,mkienda dukani au sokoni mtu akakueleza biashara yake na bei unamwambia maneno haya?Na wengine wamezinduka na kuanza kutangazia juuu ya thread ya bambo-ambaye kajitayarisha kuitengene za kwa gharama kubwa sana.Anyway Inshalaah utapata wateja mh.Bambo aka MkimbizwaMbio.:clap2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom