MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 867
- 331

uko wapi mkuu........
Naona kazi ya u-marketing manager itamshinda....loluko wapi? Mi ni mpenzi na mtumiaji mzuri sn wa mafuta hayo tafadhali weka mambo hazarani UKO PANDE ZA WAPI?

uko wapi? Mi ni mpenzi na mtumiaji mzuri sn wa mafuta hayo tafadhali weka mambo hazarani UKO PANDE ZA WAPI?
Mfano mtu yuko Arusha anapataje sasa au una matawi huku....

Sinza
Mapambano
Dar es salaam

Naona kazi ya u-marketing manager itamshinda....lol
kaka mi nataka mashudu ya alzeti -- kuanzia tani 5 hadi 30. tufanye diliNauza mafuta ya alizeti. Ni pure kutoka singida.
Hayajachakachuliwa.
Dumu la lita tano ni shi. 18,000
Na dumu kubwa 70,000
Yapo mengi ya kutosha
Wanunuzi naomba wani PM
sun flowerWakuu hiyo halizeti ndio nini kwa kimombo?

Sinza
Mapambano
Dar es salaam
kaka bei yako kubwa sana, mafuta ya alizet lita 5 ni tsh 15,000 tu, wacha utapeli kila kitu mnapandisha bei tu!

Tangazo limepwaya mno kama upo serious rekebisha kwa kuzingatia maswali uliyoulizwa. Na hilo dumu kubwa la 70,000/= ni la lita ngapi ?