Nauza machine ya kufuma Sweta na overlock yake.

Nauza machine ya kufuma Sweta na overlock yake.

cool d

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,754
Nipo Mwanza nauza machine ya kufuma Sweta ya nyuzi nyembamba milioni sita vyote kwa pamoja, vyote bado vipya. Pm Kama unahitaji.View attachment 1102880
IMG-20190520-WA0004.jpeg
 
Nauza kwasababu nahitaji pesa na nipo nazo mbili.
 
Mimi ninayo hiyo, anayehitaji anibariki laki nane tu nimsusie.
 
Back
Top Bottom