Nauza line ya tigo pesa

Nauza line ya tigo pesa

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Habari za uzima wadau nauza line ya tigo pesa ila kabla ya malipo mnunuzi utahitaji kuandikishana nami serikali za mitaa na kunipa business license,tin, copy ya kitambulisho chako na passport size 2 then nitaenda kukubadilishia jina na ikishasoma jina lako hapo ndipo utanilipa 540,000/= nicheck kwenye namba 0787725140 kwa aliye serious tafadhali sana
 
Me nina 500,000 nisaidie mkuu,kama vp tufanye biashara hata kesho..!
 
hyo 500k unakuta na salio?


salio unaweka mwenyewe kaka hiyo unauziwa jinsi ilivyo... si unajua tigo line wanatunyima wanatoleana wenyewe kwa wenyewe wafanyakazi wa pale alafu baadaye wanatulangua sisi walala hoi nje ukienda kuomba wanakwambia, line hazitoki lkn kuna watu unaona mtaa wanatolewa Mjini shule my kaka
 
Back
Top Bottom