Nauza line ya M- pesa

Nauza line ya M- pesa

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
habar nauza line ya mpesa nipo moshi mwenye kuhitaji anijulishe kwa pm bei ni 180,000 tu
 
laki na 80 boss nauza hiyo line coz nimebadili biashara so sina muda wa kukaa chini kama.mwanzo
 
nenda voda au kama utakuwa chini ya wakala nenda boisafi kwa moshi u wil get full info mkuu ya kwaku nilinunua lak saba miaka mitatu iliyopita sijajua kwa sasa
 
Mkuu!@ Jay ukiweza idake hiyo. Mpaka uipate Voda ni baada ya miez kama mi2.. Kwa msaada chonga nae huyo jamaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom