favoured Member Joined May 5, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Mar 13, 2015 #1 Habari wanajamii Nauza line za Mpesa na Tigo pesa, ni zangu na zinafanya kazi sema nimekosa msimazi aliyepo kaondoka, ndo sababu ya kuuza kama uko serious kwa manunuzi nipigie 0717633724,naishi Dar es salaam - naamini hatutashindwana bei Ahsante
Habari wanajamii Nauza line za Mpesa na Tigo pesa, ni zangu na zinafanya kazi sema nimekosa msimazi aliyepo kaondoka, ndo sababu ya kuuza kama uko serious kwa manunuzi nipigie 0717633724,naishi Dar es salaam - naamini hatutashindwana bei Ahsante
lolyz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 339 Reaction score 199 Mar 13, 2015 #2 Duuuh namba uliyoiweka hapa yenyewe haipatikani,weka bei hapa tuone au weka namba inayofanya kazi.