ninauza line ya tigo pesa kwa shs laki nne na nusu na mpesa kwa shilingi laki moja na sabini...maongezi yapo.laini zinatumika dar es salaam...
Hahahaaa mkuu unahisi hizo lain ndo zitakutoa au sasa lain ya tigo pesa itauzwa laki nne ina nn aircondition kwa ndani au? Hata hyo ya mpesa huwezi kuuza kwa bei hyo
hizi zangu ni self contained....